Pages

Sunday, May 1, 2016

OFISI MPYA YA SHIRIKA LA FASO


TUNAPENDA KUWAPA TAARIFA WADAU WETU KUWA, OFISI ZA SHIRIKA LA FASO ZIMEHAMIA KATIKA OFISI ZA CCM MKOA WA KILIMANJARO, BARABARA YA TAIFA, CHUMBA NA. KW 119 CHINI UWANDA WA KUSHOTO. LENGO NI KUWAFIKIA WADAU WENGI WA SEHEMU TOFAUTI. KABLA YA HAPA OFISI ZA FASO ZILIKUWA ZINAPATIKANA KAHE, MOSHI(V).

ADDRESS MPYA YA FASO NI:-

Address: P.O BOX 152, MOSHI, TANZANIA
Email:fasotanzania@hotmail.com
Phone: +255(0)715 571 301 +255(0)765 571 301
Website: www.fumbuka.blogspot.com
Location:  CCM MKOA COMPLEX, Taifa Road- Left wings, Ground floor, Room No. KW 119

No comments:

Post a Comment